Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wafariki kwenye mkasa wa moto soko la Gikomba jijini Nairobi

  • | KBC Video
    3,461 views
    Duration: 3:09
    GIKOMBA YATEKETEA TENA! Mkasa umekumba soko la Gikomba jijini Nairobi kwa mara nyingine na kusababisha vifo vya watu wawili. Moto huo uliripotiwa kutokea usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kwa haraka vibanda kadhaa na bidhaa nyingine.Kamishna wa eneo la Nairobi kaskazini Simon Osumba, ambaye alizuru eneo la mkasa alithibitisha kwamba uchunguzi unaendelea kubaini kilichosababisha mkasa huo. Wakati uo huo, miili ya waathiriwa wawili walioangamia imepelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha City. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive