Watu wawili wamefariki kutokana na ugonjwa wa Mpox mjini Mombasa

  • | Citizen TV
    805 views

    Watu wawili wamefariki kutokana na ugonjwa wa Mpox mjini Mombasa. Kulingana na serikali ya kaunti maambukizi yameongezeka mwezi juni na julai.