- 2,523 viewsDuration: 2:56Watu wawili wameteketea hadi kufa baada ya lori la kusafirisha petroli kulipuka kwenye ajali iliyotokea karibu na shule ya upili ya vijana ya Paul Boit, eneo bunge la Turbo kaunti ya Uasin Gishu,barabara kuu ya Eldoret Webuye.