- 2,845 viewsDuration: 2:14Zaidi ya watu milioni mbili nchini watahitaji msaada wa chakula katika muda wa majuma matatu yajayo, huku hofu ya ukame ikiendelea kushuhudiwa. Idara ya utabiri wa hali ya anga ikisema kuwa hali hiyo inaendelea kuongezeka katika baadhi ya kaunti huku nyingine zikianza kuingia hali mbaya.