Serikali imeonya kwamba itawachukulia hatua maafisa wapotovu wa umma wanaotayarisha mifumo bandia ya orodha za malipo ya mishahara ya watumishi wa umma. Akiongea wakati wa maadhimisho ya miaka 100 tangu kuanzishwa kwa taasisi ya mafunzo ya utawala, waziri wa utumishi wa umma, Geoffrey Ruku alisema agizo la baraza la mawaziri limetolewa kwa idara ya upelelezi DCI ikabiliane na makundi hayo yanayoongeza wafanyakazi hewa kwenye mifumo hiyo ya malipo ya mishahara ya wafanyakazi wa serikali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive