- 659 viewsDuration: 2:20Viongozi na waumini wa Kanisa la Anglican (ACK) Dayosisi ya Kapenguria wametaka suluhu ya haraka ya mgogoro wa uongozi uliodumu kwa miaka kadhaa na kuligawa kanisa. Wanasema kushindwa kuchagua askofu mpya kunatokana na kutofuatwa kwa katiba ya kanisa kumesababisha mgogoro mkubwa.,kulingana nao, kuna njama za kumteua askofu mpya kinyume cha utaratibu.