Skip to main content
Skip to main content

Wavulana 147 wakamilisha siku tisa za mafunzo ya faragha

  • | Citizen TV
    1,239 views
    Duration: 2:45
    Shamra shamra za mahafala na wanafunzi kufuzu katika masomo yao hushuhudiwa sana mwishoni mwa mwaka. Tofauti na sherehe hizo, mtaa wa Maziwa jijini Nairobi umeshuhudia mahafala wa aina ya kipekee ya vijana kutoka jandoni kama anavyoarifu Robert Karuga.