15 Sep 2026 1:31 pm | Citizen TV 527 views Duration: 1:35 Wavuvi wadogo katika Kaunti ya Kilifi wameeleza wasiwasi kuhusu kupungua kwa samaki katika bahari. Wanataka sheria ya kudhibiti uvuvi ipitishwe ili kusaidia kulinda rasilimali za baharini.