Wavuvi wa Lamu wapewa boti na mashine za uvuvi

  • | Citizen TV
    367 views

    Mapato Ya Samaki Katika Eneo La Kiunga Eneo Lililoko Mpakani Mwa Kenya Na Somalia Kaunti Ya Lamu Yanatarajiwa Kuongezeka Kwa Kiwango Kikubwa Baada Ya Wavuvi Eneo Hilo Kupewa Boti Za Mashini Za Uvuvi .