Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi waokolewa baada ya kukaa siku tano baharini

  • | BBC Swahili
    4,511 views
    Duration: 25s
    Tazama Jeshi la majini la Mexico limewaokoa wavuvi wawili ambao walitumia siku tano wakielea katika Bahari ya Pasifiki ndani ya boksi la kuhifadhia vitu. Wanaume hao wenye umri wa miaka 53 na 32 walipatikana umbali wa maili 150 kutoka pwani ya Chiapas. Walifanyiwa uchunguzi wa kiafya kabla ya kuunganishwa tena na familia zao #bbcswahili #mexico #baharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw