Wawakilishi wadi hatimaye wamesitisha tofauti zao

  • | Citizen TV
    156 views

    Hatimaye utulivu umeonekana kurejea katika bunge la kaunti ya Nyamira, baada ya mzozo wa uongozi kushuhudiwa bungeni humo kwa zaidi ya miezi kumi.