10 Apr 2026 11:09 am | Citizen TV 577 views Duration: 2:21 Wawakilishi wadi wa kaunti ya Embu wanashinikiza kufanywa marekebisho ya haraka katika Hospitali ya Ishiara Level 4, wakionya kuwa kucheleweshwa zaidi kunaweza kuchochea maandamano ya umma.