Skip to main content
Skip to main content

Wawaniaji wa kiti cha mwakilishi wadi ya Chemundu wapongeza mfumo mpya wa upigaji kura

  • | NTV Video
    389 views
    Duration: 1:59
    Baadhi ya wawaniaji wa kiti cha mwakilishi wadi ya Chemundu/Kapng'etuny, eneo bunge la Chesumei kaunti ya Nandi wamepongeza mfumo mpya wa upigaji kura wa kutumia njia ya kielektroniki uliozinduliwa na tume huru ya uchaguzi IEBC. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya