- 117 viewsDuration: 1:44Wazazi wa eneo bunge la Butula Katika kaunti ya Busia wametakiwa kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliofanya mtihani wa gredi ya 9 mwaka jana wanajiunga na gredi ya kumi ili kunufaika na ufadhili kutoka kwa serikali na basari za NG-CDF. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya