- 195 viewsDuration: 2:51Wengi wa wazazi katika kaunti ya Kajiado wanakabiliwa na wakati mgumu kupata karo za shule na vifaa vingine vya shule huku mifugo wao wakikosa kununuliwa kwa bei nzuri kwasababu ya kupungua kwa uwezo wa ununuzi.Baadhi ya wazazi waliofika katika soko la mifugo la sehemu hiyo na mifugo wao walilalamika kwamba bei za ngombe aliyekomaa zimepungua kutoka shillingi elfu mia moja hadi shillingi elfu ishirini.Wanasema hii inatokana na kiangazi cha muda mrefu katika sehemu hiyo na kupanda kwa gharama ya maisha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive