Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kupimwa 'Uongo'

  • | BBC Swahili
    24,924 views
    Duration: 46s
    Rais wa Madagascar, Michael Randrianirina ametangaza hatua ya kipekee kupambana na rushwa, kwa kununua mashine maalum ya kupima uongo. Serikali imethibitisha kuwa kwa yeyote anayetaka kuwa waziri atalazimika kupimwa kwa mashine ya kugundua uongo. @faidha_ngaga na taarifa hii #bbcswahili #foryou #kenyantiktok🇰🇪 #madagscar#tanzaniantiktok Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw