Skip to main content
Skip to main content

Wazazi Kisii wamehimizwa kukumbatia talanta za watoto

  • | Citizen TV
    236 views
    Duration: 1:54
    Wazazi kutoka kaunti ya Kisii wamehimizwa kukumbatia talanta za watoto wao wangali wachanga na kuzikuza kwa njia ya pakee hususan wakati huu ambapo mtaala mpya wa CBE unawapa nafasi watoto kama hao kuendeleza vipaji vyao. Wakizungumza jumatatu mjini Kisii, katika tamasha la kipekee la kuonyesha talanta za watoto, ambapo wanafunzi 200 kutoka shule 21 walihamaishwa na wataalamu mbalimbali, wadau hao wa elimu wakitaka wazazi kuwa karibu na wanao hususan msimu wa likizo kutambua talanta zao. Hafla hiyo ikileta pamoja maafisa kutoka idara ya Elimu kaunti ya Kisii, walimu wazazi na wataalamu kutoka nyanja mbalimbali kwa lengo la kukuza vipaji via watoto hao.