Wazazi kutoka kaunti ya Kajiado wataka vijana kupewa ujuzi wa kukabiliana na mikasa ya moto

  • | KBC Video
    2 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado imehimizwa kufanikisha mpango wa usimamizi wa huduma za wazima moto ili kuepusha hasara wakati wa mikasa ya moto.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive