Skip to main content
Skip to main content

“Wazazi msiwe na hofu” asema Rais. Serikali yasambaza shilingi bilioni 4.4 kufadhili masomo

  • | KBC Video
    2,312 views
    Duration: 4:21
    Rais William Ruto amewahakikishia wazazi kwamba, zaidi ya wanafunzi milioni 1.2 wa shule za junior watajiunga na shule za senior mwezi januari. Akizungumza katika kanisa la Covenant International, lililoko Rotian, katika kaunti ya Narok , rais alisema kuwa, nafasi ziipo shuleni baada ya madarasa elfu- 23 zaidi kujengwa. Aidha Rais Ruto, amesema kufikia mwezi januari serikali itakuwa imeajiri walimu elfu-100 ili kuimarisha shughuli za masomo. Na jinsi mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anavyotujuza Ruto amewakashifu viongozi wanaojaribu kuingiza siasa na porojo katika sekta ya elimu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive