- 407 viewsDuration: 2:54Wizara ya elimu sasa imeongeza muda wa wanafunzi kujiunga na gredi ya kumi hadi tarehe 21 Januari. Tangazo hilo linajiri wakati ambapo shule nyingi haswa za ngazi ya pili na tatu zikisajili idadi ndogo ya wanafunzi huku wazazi wakililia gharama ya karo pamoja na mahitaji ya shule. Laura Otieno sasa anadadisi gharama ya masomo ya gredi ya kumi ambayo imezua kiwewe kwa familia nyingi humu nchini.