- 5,082 viewsDuration: 1:54Kwa wengi, umri ni mwisho wa safari ya soka. Lakini kwa wengine, umri ni mwanzo wa historia mpya. Kutoka Uruguay hadi Japan, kuna wazee waliokataa kustaafu na bado wanacheza soka la ushindani hadi leo. Hawa ni uthibitisho kwamba katika soka, umri ni namba tu—nidhamu, afya na moyo wa kupambana ndivyo vinavyohesabika Unawafahamu watu wenye umri mkubwa katika soka ambao bado wanacheza mpira wa miguu mpaka sasa? @loko_omi anakutajia wazee watano sugu katika soka. #bbcswahili #soka #Kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw