14 May 2026 11:13 am | Citizen TV 120 views Duration: 1:35 Akizungumza baada ya mkutano na wazee wa Eneobunge la Tongaren, Mbunge John Chikati asema kuwa wanasiasa wengi wameanza kutoa Cheche za maneno ambazo zaweza sababisha ghasia wakati wa uchaguzi mkuu.