Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa Abagusii waandaa hafla ya kumkaribisha Ruto na kuhimiza ushirikiano wa maendeleo

  • | Citizen TV
    1,979 views
    Duration: 1:30
    Wazee kutoka jamii ya Abagusii chini ya muungano wao wa Baraza la Mwamogusii wamefanya wameandaa hafla maalum ya kitamaduni ya kumkaribisha Rais William Ruto eneo hilo wakitaka wenyeji kumkaribisha ili kufanikisha miradi kadhaa ya maendeleo.