Wazee wa talai wafanya tambiko la kusambaratisha maandamano ya muungano wa azimio

  • | KBC Video
    2,041 views

    Wazee wa talai kutoka kaunti ya Nandi hivi leo wamefanya tambiko la kusambaratisha maandamano ya muungano wa azimio la umoja inayo tarajiwa kufanyika jumatatu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #nandi #demonstrations #azimiolaumoja