Skip to main content
Skip to main content

Waziri Ali Joho asema wakazi watalipwa fidia kwenye mpango wa kuchimba madini Ikolomani

  • | Citizen TV
    334 views
    Waziri wa madini na uchumi wa baharini na maziwa Ali Hassan Joho amesema kuwa wizara hiyo itahusisha umma katika mazungumzo ya kutatua mzozo ulioibuka kuhusu mpango wa kuchimba madini ya dhahabu eneo la Ikolomani kaunti ya Kakamega.akiongea baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano na serikali ya kaunti ya Kakamega, Joho alisema kuwa maslahi ya wenyeji yatapewa kipaumbele hasa katika suala la fidia.