Skip to main content
Skip to main content

Waziri Andayi aonya kampuni za mafuta dhidi ya kuficha bidhaa

  • | Citizen TV
    887 views
    Duration: 2:58
    Waziri wa Kawi Opiyo Andayi ameonya kampuni za mafuta dhidi ya kuficha mafuta zikitumai kupata faida baada ya bei mpya ya mafuta Kutangazwa mwezi ujao. Wandayi amesema ni kinyume cha sheria kuwahangaisha wakenya kwa kuficha mafuta. Aidha Amesema hakuna wasiwasi wa ukosefu au uhaba wa bidhaa hiyo muhimu nchini.