22 Dec 2025 1:11 pm | Citizen TV 344 views Duration: 55s Huku wakenya wakijiandaa kwa shamrashamra za Krismasi na mwaka mpya, Waziri wa afya Aden Duale amewataka wazazi kuchukua usukani wa kuwapa ushauri nasaha vijana wadogo wanaotokomea katika lindi la matumizi ya dawa za kulevya.