Waziri Ezekiel Machogu ametetea matokeo ya KCSE 2022

  • | Citizen TV
    718 views

    Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu ametetea matokeo ya mtihani wa KCSE mwaka jana akisisitiza kuwa hakukuwa na visa vya udanganyifu kama ilivyodaiwa. Waziri Machogu aliyefika mbele ya kamati ya elimu bungeni ameongeza kuwa ni visa 128 vya udanganyifu vilivyoripotiwa wakati huo, japo havikuwa na ushahidi wa kutosha