Waziri Linturi asisitiza hakuna mbolea ghushi iliyosambazwa humu nchini

  • | KBC Video
    22 views

    Waziri wa kilimo Mithika Linturi amesisitiza kwamba hakuna mbolea ghushi iliyosambazwa humu nchini ila ni mbolea ya viwango duni pekee. Akiongea alipofika mbele ya kamati ya bunge la seneti kuhusu kilimo, Linturi alisema ni magunia 3000 pekee ya mbolea yalikosa kuafiki viwango vya virutubishi vinavyohitajika lakini hilo halimaanishi kwamba haiwezi kutumiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News