- 1,554 viewsDuration: 1:38Waziri mkuu wa Malaysia Anwar Bin Ibrahim amesifu mpango wa serikali wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu akisema ndiyo njia ya kupunguza pengo la umasikini. Akizungumza katika ziara yake rasmi humu nchini, waziri huyo pia amesifu hatua ya serikali ya rais William Ruto ya mipango ya maendeleo ya kuinua taifa.