29 Oct 2025 11:06 am | Citizen TV 5,705 views Duration: 11:23 Kamati ya Bunge kuhusu elimu inamhoji Waziri wa elimu Migos Ogamba kuhusu hali ya mitihani nchini pamoja na mgomo wa wahadhiri ambao umeendelea kwa mwezi wa pili sasa.