Skip to main content
Skip to main content

Waziri Soipan Tuya amulikwa kuhusiana na usajili wa makurutu wa KDF

  • | KBC Video
    140 views
    Duration: 2:52
    Waziri wa ulinzi Soipan Tuya amemulikwa kuhusiana na shughuli ijayo ya usajili wa kikosi cha ulinzi cha Kenya-KDF huku baadhi ya wabunge kutoka kaunti ya Nairobi wakimshtumu kwa kuorodhesha visivyo gatuzi hilo. Viongozi hao wakiongozwa na seneta Edwin Sifuna wamedai kwamba kaunti ya Nairobi inapaswa kuchukuliwa kama magatuzi mengine ambako usajili huo unafanywa katika kiwango cha kaunti ndogo. Mbali na kuwasilisha kesi mahakamani, wabunge hao wametishia kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani na waziri Tuya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive