Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa elimu Migos Ogamba afungua kontena ya mitihani Nyamira

  • | Citizen TV
    411 views
    Duration: 2:22
    Waziri wa elimu Migos Ogamba amesema kufikia sasa visa 418 vya udanganyifu wa mtihani wa KCSE vimeripotiwa kote nchini, akisema visa hivyo vimepungua kutoka visa 614 vilivyoripotiwa katika mtihani wa mwaka 2024.