15 Jul 2026 1:09 pm | Citizen TV 300 views Duration: 1:13 Julius Migos Ogamba amefika mbele ya Kamati ya Bunge ya Elimu kujibu maswali kuhusu hatma ya vyuo vya kiufundi nchini, huku suala la ufadhili wa taasisi hizo likitawala mjadala.