Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi amekosa kufika mbele ya kamati ya bunge la kitaifa

  • | Citizen TV
    589 views
    Duration: 2:43
    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi amekosa kufika mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu kawi na Petroli huku akilieleza bunge kuwa hayuko nchini. Wandayi sasa akitakiwa kufika jumanne ijayo huku uhaba wa mafuta ukiendelea kushuhudiwa maeneo mbalimbali nchini. Na kama Seth Olale anavyoarifu, washukiwa wa sakata ya uagizaji mafuta bado hawajafunguliwa mashtaka, takriban wiki wiki moja baada ya kukamatwa kwao.