- 223 viewsDuration: 43sWaziri wa Kilimo Mutahi Kagwe amezindua Bodi Mpya ya madaktari wa mifugo huku watahiniwa 1,300 wa Udaktari wa Mifugo wakipokelewa. Waziri Kagwe amebainisha kupanuka kwa jukumu la wataalamu wa mifugo katika afya ya umma, usalama wa chakula na biashara, huku akihimiza watahiniwa kuongoza ubunifu na mageuzi. aidha, Kagwe ameeleza kuwa sekta ya mifugo ni nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi wa taifa.