3 Oct 2025 1:25 pm | Citizen TV 292 views Duration: 1:30 Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe alitetea ushuru wa maendeleo ya sukari wa asilimia 4, akisema ni nguzo muhimu ya kuokoa wa sekta hiyo.