- 475 viewsDuration: 1:18Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesema kuwa wizara yake na idara ya polisi imefanya tathmini ya usalama katika maeneo yatakayoshiriki uchaguzi mdogo alhamisi ijayo. Waziri Murkomen amesema kuwa maafisa wa usalama zaidi wamepelekwa katika maeneo hayo kuhakikisha kuwa uchaguzi unafanyika bila vurugu ya aina yoyote.