28 Oct 2025 1:19 pm | Citizen TV 2,485 views Duration: 1:48 Waziri wa zamani Fred Matiang’i aliungana na viongozi wa Gusii kutoka Kaunti za Kisii na Nyamira kumtembelea Mama Ida Odinga kumfariji baada ya kifo cha mumewe, Raila Odinga.