- 3,634 viewsDuration: 2:42Waziri wa KAWI Opiyo Wandayi sasa anasema kuwa hakujulishwa kuhusu mpangilio wowote wa kuingiza petroli tata nchini licha ya stakabadhi kadhaa kuonyesha mawasiliano kati yake na aliyekuwa katibu wa wizara hiyo Mohammed Liban, kuhusu uagizaji wa lita milioni 60 za mafuta hayo. Wandayi wakati huo huo akiamuru kampuni ya One Petroleum Limited iliyohusishwa kuondoa mafuta hayo nchini mara moja