- 360 viewsDuration: 3:19Ni afueni kubwa kwa Wakazi wa wadi ya Lelan katika Pokot Kusini kusaidika baada ya miaka ya kuhangaika kutafuta huduma za afya mbali na gharama kubwa. Matumaini mapya yamejiri baada ya kuwekwa kwa jiwe la msingi la Hospitali ya Mama na Mtoto ya Amson's Group ya shilingi milioni 500 Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya