Wafugaji wa eneo la Kacheliba, Kaunti Ndogo ya Pokot Kaskazini, wameanza kuondoka kwenye ufugaji pekee na kuanza kilimo kupitia uchimbaji wa vidimbwi vya maji almaarufu “Silanka” kama njia ya kujikwamua na njaa na ukame wa mara kwa mara.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya