Wetangula awakosoa waliopanga vurugu

  • | Citizen TV
    68 views

    Spika wa Bunge la Taifa, Moses Wetang’ula, ametoa wito kwa vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wote waliohusika katika kupanga na kushiriki vurugu wakati wa maandamano ya jumatano wiki iliyopita wanakabiliwa na mkono wa sharia