Waziri wa ulinzi Soipan Tuya ameitaka huduma ya magereza humu nchini kutumia teknolojia ili kufanikisha huduma zao. Akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa wiki ya idara ya urekebishaji tabia, Tuya alisema kuwa teknolojia itasaidia katika utoaji taarifa kwa wakati, kurahisisha usimamizi wa kesi na kuimarisha uwajibikaji katika mfumo wa utekelezaji haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive