- 47,044 viewsDuration: 28:10Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amekanusha mashtaka yanayomkabili ya ulanguzi wa dawa za kulevya na ugaidi alipofikishwa mahakamani jijini New York hii leo. Kiongozi huyo na mke wake Cilia Flores walifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw #bbcswahilileo #venezuela #maduro #bbcswahili