Skip to main content
Skip to main content

Witness Kimath: Fundi seremala aliyejikita katika Udiplomasia

  • | BBC Swahili
    1,675 views
    Duration: 20:10
    Witness Wilson Kimath ni miongoni mwa vijana waliyejikita katika fani ya ujasiriamali wa ufundi seremala. Na hii ni baada ya kuondokewa na baba yake mzazi tukio lililomuumiza na kumtikisa kwa kiasi kikubwa. Akiwa na miaka 24 alilazimika kusimamisha kwa muda masomo yake ya diplomasia nchini Tanzania. Amezungumza na Martha Saranga katika waridi wa BBC #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw