- 12 views
Wizara ya afya imesitisha utoaji wa leseni za bidhaa zote zinazohusiana na nicotine ikiwapa waagizaji, watengenezaji bidhaa, wasambazaji na wauzaji muda wa siku 21 kuwasilisha upya maombi ya kupata leseni mpya katika hatua ambayo waziri wa afya Aden Duale amesema kuwa itapunguza utumiaji wa tumbaku na nicotine humu nchini. Duale aliyasema hayo wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya tumbaku duniani zilizofanyika mjini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu ambako alisimamia uteketezaji wa zaidi ya tani tano za bidhaa za tumbaku na nicotine zilizonaswa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Eldoret tangu mwaka 2021.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Wizara ya afya yasitisha kwa muda leseni ya bidhaa za nikotini
- - Duniani Leo ››
- 2 Jun 2025 - Former Deputy President last week said he only wants his impeachment reversed and to be compensated.
- 2 Jun 2025 - President's speech disrupted in Kisii, Natembeya skips event and Mbarire accuses State officials of disrespecting her.
- 2 Jun 2025 - Compensation of victims of police brutality during demonstrations was among issues ODM and UDA agreed to pursue in their deal.
- 2 Jun 2025 - How Ngugi's pen landed him in prison and later sent him into exile
- 2 Jun 2025 - Old guards face rebellion as Western Kenya rethinks its future
- 2 Jun 2025 - Finance Bill 2025 site: Activists demand the release of Rose Njeri
- 2 Jun 2025 - Deadly parasite mimics malaria, quietly claiming lives undetected
- 2 Jun 2025 - Going back to the roots: State acts to save healing herbs
- 2 Jun 2025 - Natembeya's star shines in Western as DAP-K gives him a wide berth
- 2 Jun 2025 - Kenya honours its heroes when they die; it's now time for Ngugi