Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya Elimu yatakiwa kuongeza madarasa na madawati katika shule za maeneo ya wafugaji

  • | Citizen TV
    478 views
    Duration: 1:23
    Wizara ya Elimu imetakiwa kuongeza uwekezaji katika miundomsingi ya shule, yakiwemo madarasa na madawati, hasa katika maeneo ya wafugaji ili kuwapa wanafunzi kutoka jamii hizo mazingira bora ya kusomea.