Wizara ya usalama yawaajiri polisi wa akiba mpakani Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    219 views

    Viongozi kutoka kaunti ya pokot magharibi wamesifia hatua ya waziri wa usalama Kithure kindiki kuwaajiri askari wa akiba katika maeneo ya mpaka wa kaunti hiyo ili kusaidia kuimarisha usalama na kuhakikisha kuwa masomo yamerejelewa. Viongozi hao wakisifia hatua hiyo na kusema askari wa akiba watasaidia utangamano na wenyeji na kusaidia kuweka usalama vijijini.