Zaidi ya familia 200 zaathirika na mafuriko Kirinyaga

  • | Citizen TV
    244 views

    Zaidi ya familia 200 katika vijiji vya Maishakamili na Githogondo eneo la Mwea Kaunti ya Kirinyaga zimeachwa na mahangaiko baada ya mvua kubwa kusababisha maji ya mafuriko kuingia ndani ya nyumba zao usiku wa kuamkia leo.